ESMA PLATNUMZ AWEKA WAZI U WIFI NA HAMISA MOBETTO / ALIPO DIAMOND PLATNUMZ/ MADAM HERO BADO
Wasafi Media Wasafi Media
4.5M subscribers
138,600 views
0

 Published On Aug 28, 2018

Esma Platnumz amesema kuwa kwa sasa akiulizwa swali kuwa ni nani ambae anamtambua kama Wifi yake kwa kaka yake Diamond Platnumz, amesema kuwa hana upande wowote ambao anaweza kuegemea na wala hawezi sema yupi ndio wifi yake kwa sasa mpaka atakaposhuhudia ndoa kabisa.

show more

Share/Embed