Kocha Taifa Stars ataja kikosi kitachovaana na Sudan nchini Saudi Arabia
Azam TV Azam TV
2.63M subscribers
9,852 views
0

 Published On May 7, 2024

Huyu hapa Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Hemed Suleiman ‘Morocco’ akitaja kikosi cha Stars kitakachokwenda Saudi Arabia kwa ajili ya michezo miwili ya kirafiki dhidi ya Sudan.

Kikosi hicho kitaanza safari kesho Jumatano Mei 8, 2024.

show more

Share/Embed