Jay Melody_Nakupenda (Lyrical Video)English version
Jay Melody Jay Melody
392K subscribers
1,959,688 views
28K

 Published On Premiered Aug 25, 2022

Nakupenda - 5804750 (SKIZA)


Due to the great need of people to understand the meaning of this song, we have tried to bring the English version to make it easier for many people.Enjoy good musicVERSE 1
iwe giza baridi na upepo
iwe kuna mawingu na minyesho
your body baby joto

unafanya nijihisi special
unanipa sababu ya uwepo
kando yako we mtoto

my desire
we nipe dawa
mi mahututi
sijielewi ooh my god

BRIDGE
shida ni nimekolea penzini
shida ni baby uko moyoni
wewe

CHORUS
nakupenda we
nakutaka we
kwako sijiwezi
oooh my love

mpenzi we
roho yangu we
kwako sjiwezi
oooh my love

VERSE 2
Akili mwili baby
hasira yangu navituliza
ukiongea nasikiliza yote
sababu ya upendo

pili pili baby
vindimu chumvi ya kunyunyiza
yani uroda kupitiliza
nimeumaliza mwendo

kiukweli
napendwa
nachanganywa
na haya ma-raha

BRIDGE
Shida ni nimekolea penzini
shida ni baby uko moyoni
wewe

CHORUS
Nakupenda we (anhaa)
nakutaka we (oh nana nana)
kwako sijiwezi
oooh my love (oooh my baby)

Mpenzi we (ooh nonono)
roho yangu we(aaah yayaya)
kwako sijiwezi (ooh uoh)
oooh My love (oooh naneh)

https://smarturl.it/jaymelodynakupenda

Contacts:
: [email protected]

show more

Share/Embed