AL MAKTOUM, BILIONEA WA DUBAI ANAYEISHI KAMA YUPO PEPONI
Global TV  Online Global TV Online
4.77M subscribers
971,979 views
0

 Published On Premiered Jan 19, 2020

AL MAKTOUM, BILIONEA WA DUBAI ANAYEISHI KAMA YUPO PEPONI

Ipo wazi kwamba hakuna mji wa kibiashara uliochangamka katika eneo la Mashariki ya Kati kama Dubai! Jengo refu zaidi kuliko yote duniani, Burj al Khalifa, lipo Dubai na ndani yake kuna maduka makubwa zaidi duniani ya Dubai Malls!

Kuna majengo mengine ya kisasa zaidi duniani ikiwemo Burj Al Arab, vivutio vya kitalii na vituo vikubwa vya uwekezaji kama palm Island, Dubai Internet City, Dubai Media City, Dubai International Finance Centre na kadhalika!

Kwa kifupi ni kwamba Dubai ni kama ‘pepo’ ya duniani hivi, yanapatikana mambo ambayo huwezi kuyapata sehemu nyingine yoyote duniani! Pengine unaweza kujiuliza, ni nani aliyepo nyuma ya mafanikio yote haya ambayo Dubai imeyafikia?..... GLOBAL TV ONLINE IMEKUANDALIA...

GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982)
( +255 676 229628)
HABARI MPYA DAILY:
https://www.youtube.com/playlist?list...

HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
https://www.youtube.com/playlist?list...

GLOBAL RADIO TV:
https://www.youtube.com/playlist?list...

EXCLUSIVE INTERVIEW:
https://www.youtube.com/playlist?li

show more

Share/Embed