Nandy - Siwezi (Official Music Video)
4,265,411 views
0

 Published On Premiered Mar 23, 2022

#Siwezi #NewMusic #Nandy #BongoFlava #Afrobeats #AfricanPrincess

Siwezi by Nandy the official music video

Stream Nandy on Spotify:
https://open.spotify.com/artist/2YfO4...

Connect Digital Tanzania on Social Media:
  / digital_tanzania  


Siwezi Lyrics

VERSE 1
Naona kama dunia imesimama nimeibeba kichwani
Kumbe kuachwa inaumaga ivii
Tena nazidi umia nikilalama machozi yanatiririka
Kumbe kuachwa ina umaga iviii we hayaaa
Umeniumbua bora niseme
Kiapo nilicho kula bora nikiteme
Mapenz shikamoo sirudii tenaa
Umepatwa na nn si useme
Kinachokufanya we uniteme
Mapenz shikamooo sirudiii tenaa we hayaa
Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichokaa
Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwa

CHORUS
bila weee me siwez (sauti inarudia)
Siwez siweziii ( nakumbuka uliniambia)


VERSE2

Unanifanya me nalewa sana
Haipiti siku bila kugombana
Mapenz yako ya kibabe sana
Malumbano ya mapenz siyawezi
Kuna sielewi mana, iv kwanini kwako na ng,ang,ana
Mapenz gani haya kutesana
Wasiwasi wa mapenz
Ivi kwann we hisia zangu unazikondesha unaniweka roho juu
Ina maana mie maisha yangu sito yasongesha oooh mapenziiii

Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichoka
Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwaaa



CHORUS



Connect with on
  / officialnandy  
  / officialnandy  
  / officialnandy  

show more

Share/Embed