Published On May 7, 2024
James Kibande ametia nyavuni goli pekee la uchungu na kuipa ushindi wa bao 1-0 Tusker FC dhidi ya Nzoia Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Kenya #FKFPremierLeague uliopigwa Dandora Stadium jijini Nairobi.
Tazama Highlights...
show more